Yaliyomo: Maafisa nchini Nepal wanaendelea na zoezi la kugawa misaada ya dharura kwa waathiriwa wa etemeko la ardhi. Umoja wa Mataifa umekanusha madai ulificha kashfa ya dhila za kingono iliyohusisha wanajeshi wa Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Maandamano nchini Burundi, yamesitishwa kwa siku mbili.