Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais wa Venezuela Nicolas Maduro anusurika kuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mjini Caracas// Rais Donald Trump atetea viwango vya kodi dhidi ya China// Bemba kwenda Ubeligiji baada ya kukabidhi fomu kuwania urais DRC.