Raia watatu wa Israel wameuawa katika eneo la Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu// Bunge la Marekani linajiandaa leo hii kumuidhinisha rasmi Donald Trump kama rais aliyechaguliwa na Wamarekani// Bilionea na mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, Elon Musk aliye mshirika wa karibu wa rais mteule wa Marekani Donald Trump, amezusha sitofahamu Ulaya kufuatia kauli zake zenye utata.