Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa Mataifa 44 ya Ulaya wamekutana mjini Prague katika Jamhuri ya Czech ili kujadili matatizo ya pamoja ya usalama na nishati yanayotokana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine/ Serikali ya Zanzibar imesema kuna haja ya kuundwa kwa chombo ambacho kitakuwa na wajibu wa kusimamia utekelezaji wa mapendekezo juu ya namna ya kuyafikia maridhiano ya dhati