Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya watu 90 wafariki kufuatia tetemeko la ardhi huko Tibet/ Marekani imeishutumu Urusi kwa kufadhili pande mbili zinazopigana nchini Sudan, hatua inayoonekana kusisitiza madai ya awali ya Washington kwamba Moscow imekuwa ikichochea kuendelea kwa mgogoro huo.