1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.02.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Lillian Mtono10 Februari 2024

Kwenye Taarifa ya Habari asubuhi ya leo utasikia pamoja na mengine Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na Rais Joe Biden wa Marekani waonya juu ya kuzuiwa kwa misaada ya kijeshi nchini Ukraine, Umoja wa Mataifa wahofia usalama wa raia walioko Rafah wakati Israel ikijiandaa kuushambulia na Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya wataka uchunguzi wa madai ya udanganyifu kwenye uchaguzi wa Pakistan.

https://p.dw.com/p/4cFJm