1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.07.2024: Taarifa ya habari ya Asubuhi

V2 / S12S12 Julai 2024

Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye taarifa ya habari asubuhi hii ni Rais Joe Biden wa Marekani asema atagombea tena wakati akiuhitimisha mkutano wa kilele wa Jumuiya ya NATO. Pande zinazozona nchini Sudan zaanza mazungumzo ya kusitisha mapigano mjini Geneva na Ikulu ya Urusi yakosoa mpango wa Marekani wa kupeleka makombora ya masafa marefu nchini Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4iCED
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)