1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.07.07.2024 Matangazo ya Mchana

Josephat Charo
13 Julai 2024

Miili ya wapalestina 60 yafukuliwa huko Gaza kwenye majengo yaliyoporomoka kufuatia shambulio la Israel. Biden awatoa hofu wafuasi wake kuhusu afya kuelekea uchaguzi wa mwezi Novemba. Na Polisi nchini Kenya kuchuguza iwapo kuna polisi wanaohusika na ugunduzi wa miili iliyokatwa katwa na kutupwa mjini Nairobi.

https://p.dw.com/p/4iFcG
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus und Matrix
Picha: Klaus Ohlenschläger/picture alliancePicha: Klaus Ohlenschläger/picture alliance

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)