Karibu usikilize taarifa ya habari asubuhi ya leo hapa DW Kiswahili. Miongoni mwa utakayoyasikia ni Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine auomba Umoja wa Ulaya kutoiacha pembeni Marekani wanapoisaidia vitani: Rais wa Urusi Vladimir Putin asema yuko tayari kufanya maafikiano kuhusu vita vya Ukraine na Israel yashutumiwa kwa "vitendo vya mauaji ya halaiki" na "safishasafisha ya kikabila". Sikiliza.