Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyengine aiondoa Marekani kutoka kwenye mkataba wa mazingira wa Paris//Joe Biden awapa msamaha wa rais wanawe kuwalinda dhidi ya Trump//Na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty lalituhumu jeshi la Kongo na M23 kwa uhalifu wa kivita.