1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.01.2025: Taarifa ya habari za asubuhi

23 Januari 2025

Rais wa Marekani Donald Trump aliorodhesha kundi la waasi wa Kihouthi wa Yemen kama shirika la kigeni la kigaidi, waziri wa mambo ya nje wa Syria ahakikisha kuwa makundi ya wachache yatalindwa na Umoja wa Mataifa waonya kuwa mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, unaweza kutawaliwa na magenge ya wahalifu ikiwa jumuiya ya kimataifa haitaongeza msaada

https://p.dw.com/p/4pUcP