ABUJA:Wafilipino watekwa nyara Nigeria
5 Agosti 2006Matangazo
Wafanya kazi watatu wa kampuni ya mafuta wametekwa nyara kusini mwa Nigeria.Hadi sasa hakuna habari zozote juu ya wateka nyara hao.
Wafanyakazi hao wanatoka Ufilipino.Pia hakuna habari zozote juu ya mjerumani alietekwa nyara alhamisi iliyopita.
Matukio ya utekaji nyara yamekuwa jambo la kawaida katika jimbo la mafuta la delta ya Niger nchini Nigeria.