Matukio yaliyozingatiwa na Magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na kurejea nchini Msumbiji kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane. Marekani yasema vikosi vya RSF nchini Sudan vimetenda mauaji ya kimbari. Watu nchini Somalia wanaihitaji mvua lakini wakati huo huo wanaihofia