Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim alitaja timu yake kuwa huenda ikawa mbaya zaidi katika historia ya klabu hiyo baada ya kushindwa kwa mara ya 10 katika Ligi ya Premier. Katika Bundesliga Leon Goretzka arudi katika kiwango bora cha mchezo. Simba yasema iko tayari kwa robo fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika.