Watu wenye ulemavu wa kusikia mara nyingi hupitwa na maelezo yanayowasilishwa kisauti kupitia simu za mikononi au hata vyombo vingine vya mawasiliano. Sasa kuna app iliyozinduliwa ya kuwawezesha kupata ujumbe. Jacob Safari anaeleza mengi kwenye makala- Sema Uvume