1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari Januari 17, 2023

V2 / S12S17 Januari 2023

VIDOKEZO: Marekani yawapa mafunzo wanajeshi wa Ukraine kule Bavaria Ujerumani.// Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Bearbock apendekeza kubuniwa mahakama maalum kushughulikia mzozo wa Ukraine. // Shirika la UNESCO lasema mauaji ya waandishi habari yaliongezeka 2022.

https://p.dw.com/p/4MHpg