Jamii"Mgonjwa wa Dusseldorf apona VVU"To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSudi Mnette23.02.202323 Februari 2023Bwana mmoja wa Ujerumani ambae amepachikwa jina la "Mgonjwa wa Dusseldorf" amekuwa mtu wa tatu kutangazwa kuponywa VVU baada ya kufanyiwa upandikizaji wa seli, hatua ambayo pia imetibu saratani yake ya damu.https://p.dw.com/p/4NsUGMatangazo