1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye afikishwa mahakama ya kijeshi

20 Novemba 2024

Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya kijeshi mjini Kampala baada ya kukamatwa kwa mabavu akiwa taifa jirani la Kenya mwishoni mwa juma lililopita. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4nDKD
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio