Bunge nchini Israel limepitisha sheria yenye utata ambayo inaielezea nchi hiyo kama taifa la Wayahudi, huku ikikosolewa kwa kuwatenga watu wa jamii za wachache kama Waarabu, nayo serikali ikisema sheria hiyo mpya ni nyongeza tu kwenye sifa ya Israel. Papo kwa Papo 19.07.2018.