1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroAfrika

Bunge laagiza majadiliano kuhusu uwanja wa JKIA kusitishwa

Sudi Mnette25 Septemba 2024

Nchini Kenya bunge limeiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya (KAA) kusitisha majadiliano yoyote na kampuni ya India ya Adani, kuhusu kukodisha uwanja mkuu wa ndege wa taifa hilo hadi itakapokamilisha uchunguzi kuhusu mpango huo uliopendekezwa. DW imezungumza na mfichuzi wa kashfa ya Adani, Nelson Awenya akiwa nchini Ufaransa, je ana maoni gani kwa hatua ya kamati ya bunge?

https://p.dw.com/p/4l3bE