Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimetangaza kujitowa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji unaofanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Novemba. Mohammed Khelef amezungumza na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, kuhusu uamuzi huo.