Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ni chama mwenza kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi nchini Tanzania (UKAWA) kimeelezea kushitushwa kwake na uamuzi huo wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, kujiuzulu wadhifa wake huo, jambo ambalo pia linamaanisha kuwa si tena mwenyekiti mwenza wa UKAWA.