1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema yatishia kususia mchakato wa kukusanya maoni

1 Desemba 2011

Chama kikuu cha Chadema , kimesema jana kuwa kitendo cha rais Jakaya Mrisho Kikwete kusaini muswada wa sheria ya marekebisho ya katiba ya mwaka 2011, ni kinyume na ushauri waliotoa kwa rais.

https://p.dw.com/p/13KQa
United Front (CUF) und CHADEMA Partys’ flags: (from left) the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM), the main opposition Civic United Front (CUF) and second in opposition CHADEMA Stichwort:Fahnen CCM, CUF, CHADEMA
Wafuwasi wa vyama wakiwemo wa ChademaPicha: DW

Kitendo hicho kimesababisha chama cha Chadema kusema kuwa kitasusia mchakato mzima wa kukusanya maoni kwa ajili ya katiba hiyo. Mwandishi wetu Sekione Kitojo alizungumza na mbunge wa jimbo la Ubungo wa chama cha Chadema na mkurugenzi wa mambo ya nje wa chama hicho , mheshimiwa John Mnyika ambaye alitaka kujua ni makubaliano gani chama cha Chadema kilichofikia na rais wakati wa mazungumzo yao huko Ikulu.

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri: Abdul-Rahman,Mohammed