Chama cha Chadema Tanzania kimekwenda mahakamani kuishtaki serikali ya Zanzibar
8 Oktoba 2009
<p>Chama cha Chadema leo kimekwenda mahakamani kufungua kesi dhidi ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa madai kwamba imekiuka sheria mbili, za katiba za Tanzania na Zanzibar kuhusiana na swala la vitambulisho.
https://p.dw.com/p/K2LC
Matangazo
Munira Muhammed alizungumza na Hamad Musa Yusuf Naibu
katibu mkuu wa Chadema Zanzibar. Alianza kwa kumuuliza aeleze
kwa kina hatua hii waliyoichukuwa.