Kila ifikapo tarehe 13 Juni kila mwaka, Dunia huadhimisha siku ya uelewa juu ya watu wenye ualbino. Kundi hili hukumbana na changamoto kadha wa kadha katika jamii zao ikiwemo unyanyapaa, kuuawa au kukatwa baadhi ya viungo katika mwili kwa imani potofu. #Kurunzi