Ziwa Victoria ni fahari kubwa ya Afika Mashariki hasaa ikizingatiwa kuwa ndiyo ziwa kubwa zaidi barani Afrika na la pili kwa ukubwa kote duniani. Licha ya fahari ya tangu jadi, hasaa katika sekta ya uvuvi, ziwa Victoria linashuhudia changamoto si haba. Katika makala hii ya mtu na Mazingira, Musa Naviye anaangazia changamoto zinazolikabili ziwa hilo.