SiasaDarubini ya miaka 15 ya ukansela wa Angela Merkel UjerumaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaHarrison Mwilima27.11.202027 Novemba 2020Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inapigia darubini kipindi cha miaka 15 ya uongozi wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel. Ni matukio yapi muhimu yametokea katika kipindi cha uongozi wake mpaka sasa? Harrison Mwilima anasimulia zaidihttps://p.dw.com/p/3ltipMatangazo