Mzozo baina ya wavuvi katika Ziwa Viktoria nchini Kenya umeendelea kuripotiwa kila wakati huku wavuvi kutoka Kenya wakiendelea kudhulumiwa mikononi mwa maafisa wa polisi wa taifa Jirani la Uganda. Makala ya Mbiu ya Mnyonge inamulika dhuluma za wavuvi hao ziwani Victoria.