1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Hatuezi kufanya mazungumzo na kundi la kigaidi M23

18 Oktoba 2022

Huku waasi wa M23 wakisubiri mazungumzo na serikali ya Kongo, mamlaka ya nchi hiyo imesema haiwezi kufanya mazungumzo na kundi la kigaidi. Ni zaidi ya miezi minne ambapo mji wa Bunagana mkoani Kivu Kaskazini umekuwa chini ya udhibiti wa M23 lakini serikali ya Kinshasa bado inaamini kwamba siyo M23 inayodhibiti mji huo bali ni Rwanda ndiyo iliyoivamia Kongo. Jean Noel Bamweze ana mengi.

https://p.dw.com/p/4IMaU