1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Facebook yakabiliwa na habari za uwongo mtandaoni

Yusra Buwayhid
28 Desemba 2016

Si kila unachokisoma mtandaoni ni cha kweli. Taarifa za uwongo zinazosambazwa katika mtandao wa Facebook zimezua gumzo kubwa duniani kote, miezi ya hivi karibuni. Sema Uvume inaangalia namna ya kujikinga na taafira za uwongo, na namna ya kwenda Live kwa vidio katika mtandao mwengine wa Twitter.

https://p.dw.com/p/2Ux7C