Germain Katanga ahukumiwa miaka 12 jela
23 Mei 2014Matangazo
Mamia ya watu waliuwawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na waasi wa kundi hilo wanaodaiwa walipewa silaha na Germain Katanga. Kutoka Beni, mwandishi wetu John Kanyunyu ameifuatilia hukumu hiyo na katuandalia ripoti ifuatayo kuhusu hisia zilizojitokeza mashariki mwa Kongo kufutia uamuzi wa ICC.
Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Saumu Mwasimba
Mhariri: Mohammed Khelef