Gharama ya majeneza huko Msumbiji yatia mashaka hasa wakati huu ambapo gharama ya maisha imeongezeka. Wenyewe wanasema kuishi gharama na kufa pia gharama. Uchongaji majeneza ya bei nafuu wampa umaarufu bwana mmoja katika mji wa Beira. Jiunge na Saumu Mwasimba katika makala ya Karibuni.