SiasaHisia kuhusu madai ya kupotea kwa shilingi trilioni 1.5 TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSaumu Ramadhani Yusuf20.04.201820 Aprili 2018Je Watanzania wenyewe wanazungumziaje madai kwamba shilingi trilioni 1.5 zimepotea serikalini? Je wameridhika na maelezo ambayo yametolewa na serikali? Sikiliza baadhi ya maoni ya wale waliozungumza na DWhttps://p.dw.com/p/2wPjAMatangazo