Hisia za kutojiamini To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSylvia Mwehozi18.03.202418 Machi 2024Umewahi kupata hisia za kutojiamini? Wanasaikolojia wanasema hisia hizo huchangiwa na mambo tofauti ikiwemo malezi na tabia binafsi. #Kurunziafya inatizama hisia hizo, ambazo si ugonjwa lakini hutupata katika maisha yetu ya kila siku. https://p.dw.com/p/4druzMatangazo