1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Huyu ndiye kijana wa Kenya miaka 50 baada ya uhuru

11 Desemba 2013

Miaka 50 ni umri mrefu kwa binaadamu ingawa ni mfupi kwa taifa, huku Kenya ikiadhimisha nusu karne ya uhuru wake, Deutsche Welle inaangalia tafauti ya kimawazo kati ya vijana wa wakati huo na wa sasa.

https://p.dw.com/p/1AXCS
Mama Sarah Obama Onyango.
Mama Sarah Obama Onyango.Picha: ROBERTO SCHMIDT/AFP/Getty Images

Katika makala haya ya Vijana Tugutuke, Eric Ponda anakikusanya kizazi cha zamani na cha sasa katika pwani ya Kenya kutathmini sio tu uhuru wa taifa hilo la Afrika ya Mashariki, bali pia mpishano wa mtazamo na fikra kati ya vizazi hivi viwili.

Kusikiliza mjadala huu, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Eric Ponda
Mhariri: Daniel Gakuba