1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ipi tathmini ya wachambuzi juu ya mahojiano ya Rais Ruto?

5 Januari 2023

Rais wa Kenya William Ruto jana alifanya mahojiano yake ya kwanza na vyombo vya habari nchini humo tangu achukue hatamu za uongozi na kikubwa kilichojitokeza ni kauli yake kuwa Kenya haitokwepa kuyalipa madeni yake, licha ya nchi hiyo kukabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni barani Afrika. Sikiliza mahojiano kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi Profesa Herman Manyora.

https://p.dw.com/p/4Lkqz