1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jamii ya Rohingya inavyodharauliwa duniani

16 Oktoba 2012

Jamii ya Waislamu ya Rohingya waliopo nchini Myanmar na Bangladesh ni miongoni mwa jamii zinazodharauliwa na kutengwa sana kabisa duniani kwa mujibu wa rikodi zilizopo. Nini sababu na ni ipi hatima yao?

https://p.dw.com/p/16Qwu
Jahazi iliyobeba wakimbizi wa Rohingya ambao si Myanmar wala Burma iliyo tayari kuwapokea na kutambua.
Jahazi iliyobeba wakimbizi wa Rohingya ambao si Myanmar wala Burma iliyo tayari kuwapokea na kutambua.Picha: Asiapics

Mohammed Dahman anazungumzia jaala na majaaliwa ya watu wa jamii ya Rohingya, ambayo imetengwa na kudhalilishwa kwa muda mrefu duniani, huku wakichukuliwa kama raia wasio na uraia wa taifa lolote lile duniani. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Mohammed Dahman/DW Kiswahili
Mhariri: Mohammed Khelef