1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muungano wa Tanzania uliyameza Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964

11 Januari 2017

Wakati Wazanzibari wakiadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964, Katibu Mkuu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi, Salim Rashid, anaangalia nyuma kupaangazia pale anapoamini Mapinduzi hayo yaliacha njia yake kutokana na nguvu za nje ya visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi na namna ambavyo kuacha huko njia kumeyaathiri maisha ya mtu mmoja mmoja na ya taifa zima kwa ujumla.

https://p.dw.com/p/2VckX