Wasiwasi kuhusu uhuru ya vyombo vya habari umeibuka nchini Kenya kufuatia kauli ya kiongozi wa wengi katika baraza la seneti Aaron Cheruiyot kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba anatumai Rais William Ruto atafaulu kudhibiti vyombo vya habari alivyovitaja kuwa na nguvu nyingi. Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na mkurugenzi wa baraza la habari Kenya David Omwoyo.