AfyaNigeriaJe, umewahi kusikia kuhusu ''menopause'' ya wanaume ?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaNigeria22.04.202422 Aprili 2024Inaweza kukushangaza kwamba wanaume nao huingia katika kipindi cha menopause. Tofauti na wanawake ambao menopause inaashiria kukoma kwa hedhi, wanaume nao hupatwa na andropause yani kukoma kwa uwezo wa kuzalisha. https://p.dw.com/p/4f3GtMatangazo