1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je wapenda ukweli mchungu au uambiwe uwongo bora usikwazike?

Saumu Njama Athuman/MMT11 Mei 2021

Je umewahi kusikia kuhusu uwongo unaoruhusiwa? Kumpa mtu sifa ambazo hastahili kupata kusudi tu kuepusha ugomvi yaani kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Ndiyo mada ambayo makala Vijana Mchakamchaka inaangazia kwa leo.

https://p.dw.com/p/3tF4Y