1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la Zimbabwe halitoshawishi uchaguzi

Josephat Charo
5 Julai 2018

Jeshi la Zimbabwe limeahidi kutoegemea upande wowote wakati wa uchaguzi ujao, likipuuzilia mbali madai kwamba litawatuma maafisa wake kushawishi mwenendo wa uchaguzi huo uliopangwa kufanyika tarehe 30 mwezi huu wa Julai.

https://p.dw.com/p/30tLu