1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni Tanzania husababisha ugomvi katika ndoa

Admin.WagnerD20 Oktoba 2015

Wakati wananchi nchini Tanzania wakisubiri kwa hamu kupiga kura tarehe 25 Oktoba, kumekuwepo na matukio ya aina yake ndani ya familia ambayo hayajawahi kushuhudiwa kutokea katika chaguzi zilizotangulia.

https://p.dw.com/p/1Gr8P
Picha: picture alliance/Ulrich Baumgarten

Baadhi ya matukio hayo ni itikadi za vyama vya siasa kuingia hadi katika ngazi ya familia na kusababisha baadhi ya wanandoa kutengana kutokana na kutofautiana kiitikadi.

Kutoka mkoani Shinyanga nchini Tanzania mwandishi wetu Veronica Natalis anasimulia zaidi.

Mwandishi: Isaac Gamba

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman