JamiiKauli ya Magufuli kuhusu uzazi wa mpango yapingwaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiMohammed Khelef10.09.201810 Septemba 2018Rais John Magufuli wa Tanzania ameibua tena utata kwa kauli yake inayotafautiana na dhana ya uzazi wa mpango, ambayo ni sera ya kitaifa na kimataifa.Msikilize mwanaharakati Maria Sarungi, alivyoipokea kauli hii. https://p.dw.com/p/34bb1Matangazo