Gavana wa Kaunti ya Turkana, Jeremiah Lomorukai Ekamais amekanusha taarifa zilizochapishwa na chombo kimoja cha habari nchini humo, zikisema watu sita wamekufa kwa njaa katika kaunti hiyo iliyoko kaskazini magharibi mwa Kenya. Hawa Bihoga amezungumza na kiongozi huyo.