Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ahutubia kwa mara ya mwisho kuhusu mzozo wa Israel na Palestina, Urusi na Uturuki zanuia kusitisha mapigano nchini Syria kabla ya mwaka mpya na Rai wa Msumbiji wakimbia makazi yao kufuatia mzozo wa serikali, upinzania na waasi.