Vijana wanapofika mijini au kwenye mataifa ya mbali kwa ajili ya kutafuta maisha bora huficha utambulisho wao ikiwemo majina yao ya asili na kujiita majina yanayotajwa mazuri,hukataa hata kufanya tamaduni za kwa kwa kuonekana watakuwa washamba. Je ukifika ugeneini utaishi kama mwenyeji au Mgeni? Fatilia vijana mchakamchaka