Kikao cha viongozi wa Umoja wa Afrika waendelea Kampala
26 Julai 2010Matangazo
Kikao cha marais wa nchi za Umoja wa Afrika kinaendela mjini Kampala,, Uganda. Leo, marais wanatilia mkazo mada ya mkutano huo ambayo ni afya ya akina mama wajawazito na watoto wachanga kinyume na hapo awali ambapo mikutano iliyotangulia ya mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Umoja wa Afrika ilikiuka mada ya mkutano na kutilia maanani sana suala zito lililojitokeza la usalama.
Mwandishi wetu kutoka Kampala Leyla Ndinda ametutumia ripoti ifuatayo.
Mwandishi, Leyla Ndinda
Mpitiaji, Peter Moss
Mhariri, Josephat Charo