Kufuatia mkasa wa wafuasi wa dini wanaofunga hadi kufa kwa njaa eneo la Shakahola kaunti ya Kilifi nchini Kenya, watu wanajiuliza maswali mengi juu ya sababu inayowafanya waumini hao kufuata mafundisho ya mchungaji Paul Mackenzie, hata yanayowalazimu kuingia katika mienendo inayoyaweka maisha yao hatarini. Daniel Gakuba amezungumza na mwanasaikolojia Caro Oreng.