Rais wa Poland Andrzej Duda ametumia kura ya turufu kupinga miswada 2 iliyolenga kufanya mageuzi idara ya mahakama. Bomu la kwenye gari lawaua watu 24 Kabul na kuwajeruhi 40. Na msichana mmoja aliyezaliwa na virusi vya HIV aishi na virusi hivyo kwa zaidi ya miaka 8 bila ya maambukizi kuongezeka baada ya kuacha kutumia madawa. Papo kwa Papo 24.07.2017